| Toa Maoni yako Kuhusu BSS kwa kutuma neno ("BSSMAONI" acha nafasi moja "MAONI YAKO" Kwenda 15327 |
| MIMI NI JOHN KUTOKA BBC . |
| BSS MNATISHA, MIMI VICTORIA WA MIKOCHENI . |
| BSS 2009 ILIKUWA BOMBA KUPITA MWAKA ULIYOPITA. ILIKUWA FAIR. SASA TUONE MSHINDI ATAFANYA NINI SIO KUANZA KUTESA NA KULA BATA. I HOPE MTATUPA UPDATE. . |
| JAMANI MKUBALI MWAKA HUU WAKALI LAKINI PASCAL ZAIDI 'BRYSON' . |
| SHINDA0O LA BSS LITAANZA SAA NGAPI . |
| NASUBIRI KWA HAMU SANA BSS FINALI YA KESHO. NAMINI PASCAL NDIO MSHINDI. KURA KUMWAGA . |
| MSHINDI WA MWAKA HUU WA BSS ATATAMBA KWELI, MANAKE MIL25 SIO MCHEZO. NIBUSTI YA KUANZA MAISHA. . |
| MSHINDI WA MWAKA HUU WA BSS ATATAMBA KWELI, MANAKE MIL25 SIO MCHEZO. NIBUSTI YA KUANZA MAISHA. . |