Twiga 2 Wabunge 1, wanyakua mil 10
Comments ()
Kikosi cha timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Wanawake Tanzania Twiga Stars, kimeibuka kidedea katika mchezo wake dhidi ya timu ya Muungano wa Wabunge, ambapo walifanikiwa kuwatungua kwa bao 2 kwa 1, na kisha kuzawadiwa Tsh milioni 10 zilizotokana na michango ya Wabunge hao wa Bunge la Jamhuri. 
Submit Comments / Testimonials
Top Stories »





