Stakabadhi ghalani sasa kwenye mpunga
Comments ()
Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Mohamed Gharib Bilali, amewataka wakulima wa mpunga na mazao mengine mkoani Tanga, kujiunga na mfumo wa Stakabadhi ghalani, ili kuwapeusha na ulanguzi unaofanywa na wanunuzi wa mazao yao. 
Submit Comments / Testimonials
Top Stories »





