Wizara yagomewa, madaktari watoweka vituoni
Comments ()
Tamko la Serikali hapo jana kuwataka madaktari kuendelea na madai yao wakiwa vituoni limekuwa kama sumu kwa madaktari hao, ambapo Hospitali nyingi zimeripoti kutoonekana kabisa kwa matabibu hao, na hata Manesi waliokuwa wakionekana jana nao wametoweka. 
Submit Comments / Testimonials
Top Stories »





