Top Stories - Entertainment
-
Mkono wa Sugu, Ruge watazamwa kwa husda Editor - Feb, 2012
Nyota mashuhuri wa muziki nchini na Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (wa pili kushoto) na mkurugenzi wa kampuni ya Clouds Media Rugemalila Mutahaba, wakati walipokuwa wakipeana mikono kumaliza tofauti… More »
-
Local entrepreneurs challenged to trace new markets Editor - Feb, 2012
Christopher Mvule (2nd R), the assistant director for the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation responsible for middle east matters, observing the second Syrian International exhibition at Diamond… More »
-
Askari amvaa mwendesha baiskeli kwa kuvunja sheria Editor - Feb, 2012
Polisi wa kikosi cha usalama barabarani akipambana na mwendesha baiskeli aliyedaiwa kukaidi amri na maelekezo ya usalama barabarani katika eneo la Mbuyuni Kinondoni jijini Dar es Salaam leo asubuhi. PICHA: ROMI
More » -
Mbunge amkabidhi mlemavu msaada wa kiti Editor - Feb, 2012
Mwananchi mwenye ulemevu wa viungo akisukumwa na Mbunge wa Viti maalumu Ritta Kabati (katikati) baada ya kumkabidhi msaada wa kiti mjini Iringa. PICHA: ROMI
More » -
Sugu na Ruge Sasa Safiiiii manny - Feb, 2012
Ule Ugomvi mkubwa ambao ulitawala katika tasnia ya Muziki kiasi kwamba kufikia mahala pabaya, hatimaye umemalizika rasmi leo.
Alikuwa ni Waziri wa Vijana... More » -
MP’s visit unprivileged children in Dar Editor - Feb, 2012
Tanzanian legislators who form parliamentary standing committee on HIV/AIDS, are received by children who are taken care by Dar es Salaam based SOS children’s Village along Sam Nujoma road in the city yesterday.… More »
-
Barabara ya Mwenge-Tegeta ni Mei mwakani Editor - Feb, 2012
Kijiko kikiondoa lami ya zamani katika barabara ya Bagamoyo ili
kupisha ukarabati na upanuzi wa barabara hiyo kutoka Mwenge hadi
Tegeta jijini Dar es Salaam. PICHA: ROMI
More » -
Huduma za kijamii Ngorongoro zaimarika Editor - Feb, 2012
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Embaraway wakiwa wanamsikiliza walimudarasani. PICHA: ROMI More »
-
Yanga sasa kazi ni huko Misri Editor - Feb, 2012
Mabingwa wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara Dar Young Africans ya jijini Dar es Salaam, ilishindwa kujipatia ushindi dhidi ya wapinzani wake wa Kiarabu kutoka Misri Zamalek,licha ya kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa,… More »
-
Mawazo - Diamond - Exclusive manny - Feb, 2012
Mwanamuziki aliyeko kwenye Level za Juu kwasasa Naseeb Hamis a.k.a Diamond ameachia ngoma yake ya Mawazo baada ya wapenzi wengi kuisubiri kwa muda mrefu.
Diamond Platinum alisema ameachia ngoma .... More »
















