News / Business

image Top Stories - Local News
  • image
    Stanbic Bank offers support for Amana Hospital Editor - May, 2012

    Ms Desideria T. Mwegelo (left) Marketing Manager for Stanbic Bank handling

    mosquito nets to Doctor in charge at Amana Hospital Shaany Mwaruka (right), as the bank’s donation to help the patients in… More »

  • image
    Raisi azindua tovuti ya CCM, ahimiza uadilifu Editor - May, 2012

    Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Raisi Jakaya Mrisho Kikwete, sambamba na Katibu Mwenezi Nape Nnauye na viongozi wengine wa chama hicho wakati wa uzinduzi wa tovuti… More »

  • image
    Simba chali, wauza ushindi Uarabuni Editor - May, 2012

    Licha ya tambo za mabingwa wapya wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Simba juu ya kushinda kwa kishindo huko Sudani, hali imebadilika na kuwa huzuni tupu, baada ya mabingwa hao kuuza hazina yao ya mabao 3 bila walipokubali… More »

  • image
    68% ya waliomaliza la saba Mtwara hawajui kusoma Editor - May, 2012

    Uongozi na Wadau wa elimu mkoani Mtwara umelazimika kuitisha mkutano wa dharura, kujadili hatma ya maendeleo ya elimu mkoani hapo, baada ya kubainika kwamba elimu hiyo haina msaada kabisa kwa watoto wao. More »

  • image
    Waziri mpya wa fedha aanza kusaini misaada Editor - May, 2012

    waziri wa fedha na uchmi Dr William Mgimwa na muakilishi wa Umoja wa
    Ulaya Filbero Cerini Sebreg, wakitiliana saini ya misada ya fedha kwa
    miradi mbalmbali ya maendeleo na kijamii nchini, uliofnyika jijini… More »

  • image
    Sudani Kusini watua Dar, waomba msaada Editor - May, 2012

    Spika wa Jamhuri ya Serikali ya Sudan Kusini, Jenerali James Wani Igga (kushoto), akiongea na waandishi wa habari jijini Dae es Salaam leo asubuhi juu ya mgogoro wa nchi yao na Sudan Kaskazini.Kulia ni Spika wa Bunge… More »

  • image
    Lowasa atinga Monduli kuzima uasi CCM Editor - May, 2012

    Wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Monduli mkoani Arusha, waliokihama chama hicho wakionyesha mabango ya kupinga hali ya mambo ndani ya chama hicho. More »

  • image
    Gharama za simu kushuka tena zaidi Editor - May, 2012

    Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA, imetangaza kutathmini namna ya kupunguza kodi katika mampuni ya simu za mikononi nchini, kwa lengo la kushusha gharama za watumiaji wa chini, yaani wananchi. More »

  • image
    Pinda ahofia vuguvugu la mabadiliko ya siasa nchini Editor - May, 2012

    Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa
    Mbio za Mwenge huo mwaka huu Kapteni Ernest Mwanosa baada ya kuuwasha katika uzinduzi wa
    mbio hizo uliofanyika katika uwanja wa Sokoine… More »

  • image
    Kongwa Cereal Growers granted 100,000 Dollars Editor - May, 2012

    The Tanzania Country Program Coordinator for the U.S African Development Foundation Godfrey Kassanga (left) presenting an official grant document to the Chairman of Kongwa Cereals Growers Association Jeremiah Mwimbe… More »

image
Twanga Pepeta This Weekend LIVE Shows → Club Bilicanas - Maisha Club - Mango Garden - TCC Chang'ombe
image
Enjoy Everyday the Spurway → Coral Ridge Spur
image
Steers → Ohio St and Samora Ave
 
image
image
This text will be replaced
image