Top Stories - Local News
-
Vitimbi: Wa Mabwepande wajivua gamba, warudi mjini dar411 - Jan, 2012
Katika kile kinachostaajabisha, wakati Serikali ikipasha misuli kuvunja nyumba zote zilizojengwa mabondeni, Waathirika wa mafuriko wamejivua gamba, wakirejea mjini (jangwani), baada ya kutoroka eneo la Mabwepande walikohamishiwa,… More »
-
Mbunge mwingine afariki, alikuwa Waziri dar411 - Jan, 2012
Baada ya kumzika mbunge wa CHADEMA Regia Mtema hapo jana, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepata pigo jingine, baada ya Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Jeremia Sumari kupitia CCM kufariki dunia, akiwa… More »
-
Kesi ya Hamad yasomwa, CUF wapiga chenga dar411 - Jan, 2012
Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed, ameitaka Mahakama kutoa amri kwa Wadhamini wa chama cha Wananchi CUF kuja mahakamani, baada ya wahusika wa chama hicho kutotokea kusikiliza kesi hiyo iliyolenga kukisulubu kwa kumfukuza… More »
-
Wanafunzi waandamana km 60 kudai waalimu dar411 - Jan, 2012
Wanafunzi wa sekondari ya Monanila wilayano Kasulu mkoani Kigoma, wameandamana kwa kutembea mwendo wa kilometa 60 kutoka shuleni kwao hadi katika ofisi ya mkuu wa mkoa mjini, kuelezea kuchoshwa na hali duni ya kukosa… More »
-
Twiga Stars kambini kumaliza kazi dar411 - Jan, 2012
Baada ya kurudi na ushindi wa bao 2 kwa nunge kutoka Namibia, kikosi cha timu ya soka ya Wanawake Twiga Stars kimeanza mazoezi tayari kwa mchuano wa pili wa marudiano na wapinzani wao kutoka Namibia utakaofanyika Dar… More »
-
Mkazi Mbeya ahifadhi wakimbizi nyumbani dar411 - Jan, 2012
Mkazi mmoja katika eneo la Soko Matola jijini Mbeya, amebainika kuhifadhi na kuwatunza Wahamiaji haamu wapatao 29 kutoka nchini Ethiopia, baada ya taarifa kutoka kwa raia wema kuwafikia Polisi walioendesha msako na… More »
-
Pinda, Mbowe: pengo la Mtema halizibiki dar411 - Jan, 2012
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mizengo Peter Pinda pamoja na kiongozi wa Kambi ya upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe, kwa nyakati tofauti kwenye kutoa salamu za mwisho kwa mbunge Regia Mtema, wamemuelezea… More »
-
Wananchi tushirikiane mbugani-SENAPA dar411 - Jan, 2012
Uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Mbuga ya Serengeti (SENAPA), umewataka wananchi wanaoishi katika maeneo ya kandokando na hifadhi hiyo kutoa ushirikiano wa kutosha katika kuhifadhi mbuga hiyo, kwa kusaidia… More »
-
Huduma TRL zarejea, ni baada ya mvua dar411 - Jan, 2012
Hatimaye Shirika la usafiri wa treni TRL limetangaza kukamilika kwa ukarrabati uliopelekea kusimama kwa safari zake karibu nchi nzima, baada ya kutokea uharibifu na mvua katika eneo la Godegode na Gulwe mkoani Morogoro… More »
-
Mgomo malori ya nje ya nchi, yaegeshwa Tunduma dar411 - Jan, 2012
Madereva wa malori ya mizigo ya kwenda mikoani pamoja na nchi jirani za Zimbabwe, Zambia, Malawi na Congo DRC wameweka mgomo wa safari, kwa kuegesha magari yao ya kutoka na kuingia nchini katika mji mdogo wa Tunduma… More »
















