News / Articles

image Top Stories - Articles
  • image
    Who is next after the doctors? Editor - Feb, 2012

    Idealy, most of the cases of protests could have been tracked before even community shout out, and the researches indicate that solution has always been out after a potential damage. More »

  • image
    Miaka 50 ya uhuru, tujivunie nini? dar411 - Dec, 2011

    Tangu Serikali ya Tanganyika ijipatie uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961 kisha kufanya muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, Taifa jipya Tanzania lilipita katika misukosuko lukuki kuliko hata changamoto… More »

  • image
    Tanzania na mfumko wa bei, kusitishwa kwa misaada na ufisadi dar411 - Nov, 2011

    Wakati wananchi walio wengi wakiwa taabani kwa hali mbaya ya kiuchumi, ufisadi unaendelea kuzuru na kutafuna nyanja mbalimbali za maendeleo nchini, katika wakati ambao imesikitishwa kuona wahisani wamejiondoa katika… More »

  • image
    Polisi chanzo cha kuvusha magendo mipakani dar411 - Nov, 2011

    Wakati Serikali ikitaka ulinzi kuimarishwa katika maeneo ya mipaka na kuzuia mazao kama sukari na mahindi yasivushwe kwenda nchi jirani, Jeshi la Polisi limelaumiwa kwa rushwa na kufanya urasimu kwenye vituo vya ukaguzi,… More »

  • image
    Kwa Alshabab, Kenya imevamia msitu kwa kiwembe dar411 - Oct, 2011

    Kuna methali inayosema” jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza” halafu wahenga wakarudi kusema “kwa mwoga hakiendi kilio”. ni jambo la kuogofya kuoga maji usiyojua kina chake kwa kuwa tahamaki waweza kuzama. More »

  • image
    Polisi kufutiwa kodi, waalimu,madaktari nao wafikiriwe dar411 - Oct, 2011

    Imezoeleka kusikia kwamba ‘hakuna kazi rahisi duniani’, na kila jambo linalofanyika kwa kusudi fulani hugharimu nafasi ya binadamu. Kwa kuwa mtenda kazi hulipwa ujira wake, basi na taaluma yake ijengewe kingo za… More »

  • Traffic and Pollution in My City dar411 - Oct, 2011

    What do you think we should do to solve the problem of Traffic and Pollution in our City?? (comment) More »

  • Siku ya Mwalimu Nyerere, tukumbuke pamoja dar411 - Oct, 2011

    Nguzo iliyoshikilia matawi tuliyokaa sisi ilimeguka na kusinyaa ghafla na machozi yakatanda huku giza nalo likienea na kujaa, maana tulijua harudi tena; ni Oktoba 14, mwaka 1999 katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas… More »

  • Yafahamu maajabu ya bwawa la Kinondoni dar411 - Oct, 2011

    Kata ya Kinondoni imegawanyika katika mitaa minne ya Kinondoni Shamba, Kinondoni ADA Estate, Kinondoni Mjini pamoja na ule wa Kinondoni Block 41 ambao ndio wenye bwawa hili lisilodhaniwa na wengi. More »

  • image
    Nini hatma ya ongezeko la joto duniani? dar411 - Oct, 2011

    Je, uhai utapotea duniani na uso wa ardhi kubakia miamba na udongo pekee? au tutaweza kuidhibiti hali hii? Je, hatua zinazochukuliwa hivi sasa zinaweza kupingana na wimbi la mabadiliko haya yenye mchanganyiko wa asili… More »

image
102.6 Choice FM :: The Better Music Mix → Mikocheni, Clouds Media
image
Ngwasuma LIVE Weekend Special → Maisha Club - Masaki
 
image
image
This text will be replaced
image