News / Articles

image Top Stories - Articles
  • Traffic and Pollution in My City dar411 - Oct, 2011

    What do you think we should do to solve the problem of Traffic and Pollution in our City?? (comment) More »

  • Siku ya Mwalimu Nyerere, tukumbuke pamoja dar411 - Oct, 2011

    Nguzo iliyoshikilia matawi tuliyokaa sisi ilimeguka na kusinyaa ghafla na machozi yakatanda huku giza nalo likienea na kujaa, maana tulijua harudi tena; ni Oktoba 14, mwaka 1999 katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas… More »

  • Yafahamu maajabu ya bwawa la Kinondoni dar411 - Oct, 2011

    Kata ya Kinondoni imegawanyika katika mitaa minne ya Kinondoni Shamba, Kinondoni ADA Estate, Kinondoni Mjini pamoja na ule wa Kinondoni Block 41 ambao ndio wenye bwawa hili lisilodhaniwa na wengi. More »

  • image
    Nini hatma ya ongezeko la joto duniani? dar411 - Oct, 2011

    Je, uhai utapotea duniani na uso wa ardhi kubakia miamba na udongo pekee? au tutaweza kuidhibiti hali hii? Je, hatua zinazochukuliwa hivi sasa zinaweza kupingana na wimbi la mabadiliko haya yenye mchanganyiko wa asili… More »

  • Magufuli aachwe huru afanye kazi yake dar411 - Oct, 2011

    Kila sheria inayotungwa kwa ajili ya kufanya kazi miongoni mwa jamii, aghalabu hukumbana na vikwazo na mara nyingi haiwezi kukidhi mahitaji ya kila mmoja katika kuweza kuridhisha kila kundi miongoni mwa jamii hiyo. More »

  • image
    Yafahamu maajabu ya bwawa la Kinondoni dar411 - Oct, 2011

    Kata ya Kinondoni imegawanyika katika mitaa minne ya Kinondoni Shamba, Kinondoni ADA Estate, Kinondoni Mjini pamoja na ule wa Kinondoni Block 41 ambao ndio wenye bwawa hili lisilodhaniwa na wengi. More »

  • image
    Magufuli aachwe huru afanye kazi yake dar411 - Oct, 2011

    Kila sheria inayotungwa kwa ajili ya kufanya kazi miongoni mwa jamii, aghalabu hukumbana na vikwazo, na mara nyingi haiwezi kukidhi mahitaji ya kila mmoja katika kuweza kuridhisha kila kundi miongoni mwa jamii hiyo. More »

  • Giza latanda Mwanza kwa siku 4, Arusha siku 3 dar411 - Sep, 2011

    Leo ni siku ya 4 tangu jiji la Mwanza na maeneo ya jirani kuwa katika giza mfululizo kwa kukosa umeme, huku mikoa mingine ya Arusha, Mbeya na Kigoma miongoni mwa mingine nayo ikitumia mishumaa tangu siku 3 zilizopita,… More »

  • Usambazaji wa pembejeo nchini uchunguzwe - Pinda dar411 - Sep, 2011

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemwagiza Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali CAG, kuanza mara moja uchunguzi juu ya mchakato wa usambazaji wa pembejeo za kilimo kwa wakulima, ili kubaini kiini… More »

image
Pre - Valentine @ Club Much More → Mkwepu St & Indira Gandhi St, behind the Bilicana's Complex
image
African Art Furniture → Mlimani Mall next to Shoprite.
 
image
image
This text will be replaced
image