News / Business

image Top Stories - Business
  • image
    Matrekta yawasili Singida kwa kilimo kwanza Editor - Mar, 2012

    Baadhi ya Matrekta yaliyozinduliwa mkoani Singida kwa lengo la kuendesha kilimo cha kisasa katika azma ya Serikali ya kuinua kilimo kupitia sera yake ya kilimo kwanza. PICHA: ROMI More »

  • image
    Wanunuzi wa korosho Ruvuma waweka mgomo Editor - Mar, 2012

    Katika mfululizo wa ununuzi wa mavuno ya zao la korosho kwa mfumo wa Stakabadhi Ghalani, dosari imejitokeza kwa wananchi kutaabika kwa kukosa fedha za matumizi na hata kuandaa mashamba kwa msimu mwingine, kutokana… More »

  • image
    Tafrani Tegeta, kijiko chazoa mzigo wa machinga Editor - Mar, 2012

    Mmachinga mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja (aliyeshikilia jiwe kushoto), akitishia kumrushia jiwe dereva wa tingatinga la Konoike, aliyechota vyuma vyake alivyovikusanya pembezoni mwa barabara… More »

  • image
    Wanawake wajiimarisha kibiashara Iringa Editor - Mar, 2012

    Mmoja wa wakina mama katika eneo la kuuza mbao Sabasaba Iringa, akikabidhiwa fedha baada ya kufanya mauzo ya bidhaa hiyo anayojishughulisha nayo kama sehemu ya kujipatia kipato. PICHA: ROMI More »

  • image
    Serikali kuendelea kukopesha makundi ya vijana Editor - Mar, 2012

    Meya wa Manispaa ya Moshi mjini Jaffary Michael (kulia), akiwawezesha vijana katika vikundi mbalimbali vya ujasiriamali kiasi cha tsh milioni 2.5 kwa lengo la kuinua biashara zao. PICHA: ROMI More »

  • image
    Arusha wapata mikopo isiyo na riba, dhamana Editor - Feb, 2012

    Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba, akiongea na wakina mama wa Kijiji cha Mererani Wilayani Simanjiro Manyara, baada ya kutoa mikopo ya kifedha kwa vikundi mbalimbali vya ujasiriamali… More »

  • image
    Mayai feki Dar, TFDA wajitosa kuchunguza Editor - Feb, 2012

    Baada ya shehena ya mayai feki kukamatwa jana katika eneo la Kitunda Dar es Salaam, hatimaye mamlaka ya chakula na dawa nchini TFDA, imelazimika kujitosa katika mkasa huo kwa kuomba kibali kutoka Serikalini kukagua… More »

  • image
    Mv Magogoni, Kivukoni usafiri pekee Feri Editor - Feb, 2012

    Baadhi ya wananchi kwenye eneo la Kivukoni wakivushwa kwa pantoni ya MV Magogoni katika rasi ya Feri leo jijini Dar es Salaam. PICHA: ROMI More »

  • image
    Lake zone Officials meet for discussion in Kigoma Editor - Feb, 2012

    Permanent Secretary for the Vice President’s Office Sazi Salula (standing), delivering a speech when opening the Ordinary Meeting for the Lake Tanganyika’s Authority of ministers in Kigoma region today. PHOTO:… More »

  • image
    Waziri akagua miradi ya bandari ya Zanzibar Editor - Feb, 2012

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan (katikati) katika ziara yake kwenye bandari kuu ya Zanzibar, kaimu mkurugenzi wa bandari hiyo Msanifu Haji Juma pamoja na maofisa wengine wa bandari… More »

image
Sweet Eazy → Oysterbay Shopping Center, Ghuba Road

Usiku wa Mduara ndani ya Star Coco → Star Coco Beach Dar Es Salaam
image
Happy Dragon Chinese Restaurant → Old Bagamoyo Road Kawe round about
 
image
image
This text will be replaced
image