News / Entertainment

image Top Stories - Entertainment
  • image
    Mkono wa Sugu, Ruge watazamwa kwa husda Editor - Feb, 2012

    Nyota mashuhuri wa muziki nchini na Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (wa pili kushoto) na mkurugenzi wa kampuni ya Clouds Media Rugemalila Mutahaba, wakati walipokuwa wakipeana mikono kumaliza tofauti… More »

  • image
    Sugu na Ruge Sasa Safiiiii manny - Feb, 2012

    Ule Ugomvi mkubwa ambao ulitawala katika tasnia ya Muziki kiasi kwamba kufikia mahala pabaya, hatimaye umemalizika rasmi leo.

    Alikuwa ni Waziri wa Vijana... More »

  • image
    Mawazo - Diamond - Exclusive manny - Feb, 2012

    Mwanamuziki aliyeko kwenye Level za Juu kwasasa Naseeb Hamis a.k.a Diamond ameachia ngoma yake ya Mawazo baada ya wapenzi wengi kuisubiri kwa muda mrefu.

    Diamond Platinum alisema ameachia ngoma .... More »

  • image
    Prof Jay alipuka, ni albamu ya ‘JAYSCO DAGAMA’ Editor - Feb, 2012

    Profesa Jay akiwa katika pozi la ufukweni pamoja na baadhi ya vimwana (models) waliotumika katika shooting yake ya kibao cha ‘Kamili Gado’ kwenye fukwe za Kunduchi Beach Hotel Alhamisi ya wiki iliyopita. Picha:… More »

  • image
    Valentine Day, wahanga wa fistula wachangiwa Editor - Feb, 2012

    Wafanyakazi na watendaji wa Kampuni ya simu za mikononi Vodacom Tanzania, wakiwa katika hafla ya Sherehe za siku ya Wapendanao duniani leo, zilizofanyika katika ofisi zao mpya zilizoko eneo la Mlimani City jijini Dar… More »

  • image
    Mr Blue afukuzwa kundini, kutinga mahakamani dar411 - Feb, 2012

    Mmomonyoko katika makundi ya Wanamuziki wa kizazi kipya nchini Bongo Flavor umeendelea kukisakama kizazi hicho, baada ya kundi la ‘Micharazo’ kutangaza kumuengua kundini nyota wake mahihiri Heri Sameer Rajab maarufu… More »

  • image
    Diamond sokoni tena na “lala salama” dar411 - Jan, 2012

    Nyota wa muziki wa kizazi kipya jijini Dar es Salaam Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond’, ametangaza rasmi kushusha Albam Mpya sokoni inayofahamika kwa jina la “Lala Salama”, ikiwa na jumla ya nyimbo 10 huku akiahidi… More »

  • image
    Mwakyembe ammaliza Mganda kwa pointi 99 dar411 - Dec, 2011

    Hatimaye vuta nikuvute baina ya wanamasumbwi Benson Mwakyembe kutoka Mbeya Tanzania na Mustapha Katende kutoka nchini Uganda imekwisha, baada ya Mwakyembe kufunga mwaka kwa kumtandika Mganda huyo kwa pointi 99 dhidi… More »

  • image
    Mwakyembe kuzichapa na Mganda Boxing Day dar411 - Dec, 2011

    Bondia mashuhuri nchini hususani ukanda wa nyanda za juu Kusini Benson Mwakyembe, anatarajiwa kupanda ulingoni Desemba 26 wiki ijayo kumvaa mwanamasumbwi kutoka Uganda Mustapha Katende, katika mchuano Super Middle… More »

  • image
    Vazi rasmi la Taifa, sasa wananchi kuamua dar411 - Dec, 2011

    Baada ya Wabunifu mbalimbali kutoa mapendekezo yao juu ya aina ya vazi rasmi la Kitanzania, mchakato huo sasa umeelezwa kupelekwa kwa wananchi, kwa ajili ya kupata maoni yao kupitia kwa kamati maalumu iliyoundwa. More »

image
Piano Piano → Doubletree by Hilton Dar es Salaam Oysterbay, Slipway Road, Msasani Peninsula
image
Baraza Grill, Cafe & Bar → Southern Sun Hotel, Dar es Salaam
 
image
image
This text will be replaced
image