Top Stories - Entertainment
-
Mgogoro wa Tanzanite, Diamond kisa chabainika dar411 - Nov, 2011
“nilimfuata producer (Bob Junior) kumwomba kazi, akanipa biti nikaandikie, nikijua kuwa napimwa uwezo tu ili nionyeshe ufundi” amebainisha msanii Tanzanite na kueleza kuwa mwishowe alitakiwa ausambaze sokoni. More »
-
Nachanganikiwa Fans wanaponikubali stejini – Joe dar411 - Oct, 2011
“Siwezi kuelezea jinsi ilivyo… lakini ninapokuwa jukwaani nachanganikiwa, nakuwa tofauti… nakuwa zaidi ya mnyama hasa kama watu wanakubaliana na kile ninachokifanya.” Amebainisha nyota Joe Makini ambaye pia… More »
-
Mbio za baiskeli, Arusha shangwe tupu dar411 - Oct, 2011
Mabingwa wa mashindano ya baiskeli Mwanza Open Cycle yaliyofanyika jijini Mwanza hivi karibuni, wamewasili jijini Arusha na kupewa kwa shangwe na mashabiki lukuki waliojitokeza kuwalaki. More »
-
Marlow akana kumzuia mkewe kuimba dar411 - Oct, 2011
Baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Besta Prosper kupotea katika anga za muziki kwa muda sasa, Mume wa mwanamuziki huyo anayefahamika kwa jina la Malima Lawrence maarufu kama Marlow, amekanusha vikali taarifa… More »
-
Bebe matatani tena, baba amkana dar411 - Oct, 2011
Hatimaye baada mgogoro wa muda mrefu uliomhusisha Mwanamuziki mashuhuri nchini Uganda Moses Ssali maarufu kama Bebe Cool na baba yake mzazi Bidandi Ssali umeingia katika sura mpya baada ya baba huyo kumkana kutokana… More »
-
Matumla vs Miyeyusho homa yapanda dar411 - Oct, 2011
Maandalizi ya mpambano wa ngumi baina ya Wanamasumbwi Mbwana Matumla na Francis Miyeyusho yamezidi kushika kasi, huku hamasa na msisimko ukiibuka miongoni mwa Mashabiki wa wilaya za Kinondoni na Temeke jijini Dar es… More »
-
Shilole: kashfa zimeniongezea umaarufu dar411 - Oct, 2011
Licha ya kuchafuliwa katika magazeti kwa kuhusishwa na kashfa (skendo) za aina tofauti, msanii chipukizi wa filamu nchini Zuwena Yusuf Mohamed maarufu kwa jina la Shilole, ametamka bayana kuwa skendo hizo zimemuongezea… More »
-
JD sokoni na kopi 5,000 za CD dar411 - Oct, 2011
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanamuziki mahiri katika muziki wa Tanzania mwanadada Lady JD, ameelezwa kuwa na mpango wa kuanzisha kituo na kuuza CD zake peke yake kutokana na Albamu yake mpya itakayowekwa sokoni… More »
-
Penzi la Prezzo, mkewe larudi hadharani dar411 - Oct, 2011
Baada ya kuwa kimya kwa muda huku pia habari zikivuma kuwa ametalikiana na rafiki wake wa kike, Msanii maarufu Afrika Mashariki CMB Prrezzo ameonekana katika mgahawa mmoja jijini Nairobi akiwa na mpenzi wake huku wakiweka… More »
-
Bendi ‘Mkubwa na Wanawe’ yatamba kukuza vipaji dar411 - Oct, 2011

















