Top Stories - Local News
-
Askari amvaa mwendesha baiskeli kwa kuvunja sheria Editor - Feb, 2012
Polisi wa kikosi cha usalama barabarani akipambana na mwendesha baiskeli aliyedaiwa kukaidi amri na maelekezo ya usalama barabarani katika eneo la Mbuyuni Kinondoni jijini Dar es Salaam leo asubuhi. PICHA: ROMI
More » -
MP’s visit unprivileged children in Dar Editor - Feb, 2012
Tanzanian legislators who form parliamentary standing committee on HIV/AIDS, are received by children who are taken care by Dar es Salaam based SOS children’s Village along Sam Nujoma road in the city yesterday.… More »
-
Huduma za kijamii Ngorongoro zaimarika Editor - Feb, 2012
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Embaraway wakiwa wanamsikiliza walimudarasani. PICHA: ROMI More »
-
Mh Joseph Mbilinyi Afanya Mahojiano na Dar411 manny - Feb, 2012
-
Polisi watimua wachimba kokoto Kunduchi Editor - Feb, 2012
POlisi wakilinda machimbo yaliyosimasihwa kuchimbwa katika eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam leo, kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiq. PICHA: ROMI More »
-
Kamati Dodoma yakaa kujadili usalama Editor - Feb, 2012
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi (kushoto) akifafanua jambo katika kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa wa Dodoma leo. Kulia ni makamu mwenyekiti wa kikao hicho na Mbunge wa Chironoa Hezekiah Chibulunje. PICHA:… More »
-
Hali ya barabara kuu jijini Editor - Feb, 2012
Magari yakiwa kwenye foleni katika barabara ta Ali hassan Mwinyi eneo la Bamaga karibu na kituo cha televisheni cha TBC jijini Dar es salaam. PICHA: ROMI
More » -
Foleni sasa yaingia viwanja vya ndege Editor - Feb, 2012
Wasafiri wakipanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam katika terminal ya zamani. PICHa: ROMI More »
-
Bilali adadisi usalama wa wafanyakazi migodini Editor - Feb, 2012
Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilali, akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Usalama Kazini, Nassor Abdallah, katika kampuni ya uchimbaji madini ya Manta kwenye mradi wa mto Mkuju mkoani Ruvuma. PICHA: ROMI
More » -
TARCAIDS wataka ukimwi ukabiliwe kwa vitendo Editor - Feb, 2012
Mratibu wa Shirika la TACAIDS Badru Abdunuru akitoa mada kuhusiana na janga la Ukimwi kwa wadau mbalimbali wa Wilaya za Kigoma, Kasulu na Kibondo katika Ukumbi wa Ndela Mkoani Kigoma.
PICHA: ROMI
More »
















