News / Local News

image Top Stories - Local News
  • image
    Pinda ahofia vuguvugu la mabadiliko ya siasa nchini Editor - May, 2012

    Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa
    Mbio za Mwenge huo mwaka huu Kapteni Ernest Mwanosa baada ya kuuwasha katika uzinduzi wa
    mbio hizo uliofanyika katika uwanja wa Sokoine… More »

  • image
    Kagasheki: siko tayari kunyongwa Editor - May, 2012

    Waziri mteule katika wizara ya mali asili na Utalii Balozi Hamisi Kagasheki, ametoa onyo kwa watendaji wa wizara hiyo kuanza kujisafisha mara moja, kabla ya kufikiwa na hatua atakazochukua, kufuatia kashfa zinazoikabili… More »

  • image
    Pinda: wavuliwe ukurugenzi halafu mahakamani Editor - May, 2012

    Waziri mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda amebainisha amezitaka mamlaka husika hususani wakuu wa mikoa kutowafumbia tena mcho wakurugenzi na watendaji wengine wanahujumu uchumi wan chi, na badala yake kuchukua hatua… More »

  • image
    Pinda akutana na Kamati ya Katiba Editor - May, 2012

    Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria,
    Mathias Chikawe baada ya kutembelea Ofisi za Tume ya Kamati ya Mabadiliko ya Katiba na kuzungumza na wajumbe wake, jijini Dar es salaam leo.… More »

  • image
    Makamu wa Raisi afunga maeneo ya Sensa Tabora Editor - May, 2012

    Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib akiongozwa na mkuu wa mkoa wa Tabora Bi Fatma Mwasa katika mapokezi ya viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tabora.
    Picha ndogo chini ni Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu… More »

  • image
    Mwanza waanza mapambano na wabadhirifu Editor - May, 2012

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikiro ametoa siku 12 kwa watendaji wote waliohusika na ubadhirifu wa fedha za Halmashuri kuwasilisha utetezi wao na kujibu kikamilifu tuhuma zinazowakabili, kutimiza mkondo… More »

  • image
    Pinda amfuata Mwandosya Kunduchi Editor - May, 2012

    Prof Mark Mwandosya (kulia) akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mizengo Peter Pinda aliyemtembelea nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam leo asubuhi. PICHA:ROMI More »

  • image
    Shahidi: tulizunguka kutafuta nyumba mitaani Editor - May, 2012

    Shahidi nambari tatu katika kesi inayomkabili aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Italia Prof Costa Mahalu, amepanda kizimbani na kueleza anachokifahamu kuhusiana na kesi hiyo, ambapo ameeleza kuwa ni kweli kulikuwa… More »

  • image
    Mkapa appers in court to testify agaist Mahalu Editor - May, 2012

    The retired president Benjamin W. Mkapa walks on, as he leaves the Kisutu Magistrate court in Dar es Salaam today, after testifying the case of abuse of office facing the former Ambassador of Tanzania to Italy Professor… More »

  • image
    Baraza jipya la Mawaziri laapa mbele ya Raisi Editor - May, 2012

    Hafla imefanyika katika viwanja vya Ikulu leo jijini Dar es Salaam, ambapo Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Jakaya Mrisho Kikwete amewaapisha Mawaziri pamoja na Manaibu wao, tayari kwa kuanza kazi katika… More »

image
Mafian Fish Lounge → Mafian Fish Lounge
image
Twanga Pepeta → Tegeta By Nite
 
image
image
This text will be replaced
image