News / Local News

image Top Stories - Local News
  • image
    Minister’s sudden visit shocks Officials in Kigoma Editor - Feb, 2012

    Director for Kigoma Municipality Protas Kato (center, pointing a hand), giving explanation to The Minister of State in the Vice President’s Office Environment Therezya Huviza (center), during her visit in Kigoma… More »

  • image
    Nyumba 325 zachomwa moto Monduli Editor - Feb, 2012

    Machafuko katika jamii za wafugaji wilayani Monduli mkoani Arusha yameendelea kushika kasi, baada ya nyumba zipatazo 325 za wanakijiji kuteketezwa moto na watu wasiojulikana, kufuatia kile kilichoelezwa kugombea mpaka. More »

  • image
    Ajali ya Daladala yaua wawili Dar es Salaam Editor - Feb, 2012

    Hospitali ya Temeke leo imeghubikwa na simanzi ya vilio kufuatia ajali mbaya ya daladala iliyotokea katika barabara ya Kilwa kwenye eneo la Mtoni Mtongani jijini Dar es Salaam, ambapo gari la abiria maarfu kama daladala… More »

  • image
    Tatizo la maji lazidi kutikisa jiji la Dar Editor - Feb, 2012

    Wakina mama wakiwa wamebeba maji kutoka umbali mrefu kwa ajili ya shughuli zao katikati ya jiji la Dar es Salaam kwenye barabara ya Kivukoni, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. PICHA: ROMI
    More »

  • image
    Mabasi ya Mwenge-Tegeta yabadilisha njia (route) Editor - Feb, 2012

    Baadhi ya abiria wa kuelekea Tegeta na Bunju wakisubiri kwa shauku kupata usafiri katika kituo cha mabasi cha Mwenge jijini Dar es Salaam leo asubuhi. PICHA: ROMI
    More »

  • image
    Iran sends envoy for cultural matters in Tanzania Editor - Feb, 2012

    The Iranian ambassador to Tanzania Movahhedi Ghomi (center) giving explanation to the Minister for Information, Culture, Youth and Sports Dr Emmanuel Nchimbi (left) during their meeting at the Minister’s office in… More »

  • image
    Serikali kuokoa bil 1 kwa chanjo ya mifugo Editor - Feb, 2012

    Serikali imetangaza kuendesha zoezi la chanjo ya mifugo hapa nchini, kwa lengo la kukabiliana na ugonjwa wa ‘Ndigana’ pamoja na maradhi mengine yanayoathiri mifugo, zoezi litakalookoa gharama kubwa inayotumika… More »

  • image
    PM Pinda arrives Shinyanga for an official visit Editor - Feb, 2012

    Prime Minister Hon Mizengo Kayanza Peter Pinda (right) arrives at Mwandosya village in Meatu District of Shinyanga, greeting officials of the district. PHOTO: ROMI More »

  • image
    Waziri akagua miradi ya Serikali kuu Unguja Editor - Feb, 2012

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa mjasiriamali Mwajuma Mwinyi kuhusu Matumizi ya Mwani wa Baharini ambao hutengenezea sabuni ya kuogea. PICHA:ROMI
    More »

  • image
    Askari usalama amvaa mwendesha baiskeli Editor - Feb, 2012

    Polisi wa kikosi cha usalama barabarani akipambana na mwendesha baiskeli aliyedaiwa kukaidi amri na maelekezo ya usalama barabarani katika eneo la Mbuyuni Kinondoni jijini Dar es Salaam leo asubuhi. PICHA: ROMIMore »

image
TWANGA PEPETA 50TH TANZANIA INDEPENDENCE TOUR 2011 → Club 2000 Savor Banqueting Suite Popin Building Southway Wembley HA9 0HB
image
DJ Rico @ DJ Gert → Mbalamwezi Beach
image
Subway at Shoppers Mikocheni → Subway at Shoppers Mikocheni
 
image
image
This text will be replaced
image