News / Local News

image Top Stories - Local News
  • image
    Lori lapinduka Kimara, Polisi wafyatua mabomu Editor - May, 2012

    Wananchi wakistaajabu lori lililopinduka katika kituo cha mabasi cha Rombo eneo la Kimara jijini Dar es Salaam, wakati lilipoacha njia na kuangukia basi la Daladala (coaster) na pikipiki, huku gari nyingine ndogo ikitupwa… More »

  • image
    Baraza jipya la Mawaziri hili hapa, wakongwe watemwa Editor - May, 2012

    Raisi wa Jamhuri yaa Muungano wa Tanzania Mhe Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza baraza jipya la Mawaziri, lililotokana na mabadiliko makubwa ya baraza la lililopita. More »

  • image
    Makamu Raisi aonya wingu la ufisadi nchini Editor - May, 2012

    Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohamed Gharib Bilali, amesema Taifa limeingia kwenye mgogoro mkubwa kutokana na ufujaji wa mali za umma, na kusema kwamba siku zao zimefika. More »

  • image
    Raisi ateua wabunge 3 viti maalumu, yumo Mbatia Editor - May, 2012

    Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR Mageuzi James Mbatia (kushoto), Bi Janeth Mbene (katikati) na Profesa Sospetus Muhongo (kulia) walioteuliwa na Raisi Jakaya Mrisho Kikwete jioni hii kujiunga na Bunge la Jamhuri ya Muungano… More »

  • image
    Tume yakabidhiwa jengo la ghorofa 10, mashangingi 30 Editor - May, 2012

    Jengo jipya la ghorofa 10 lililoko eneo la mtaa wa Ohio karibu na jengo la wizara ya Mambo ya ndani, ambalo limekabidhiwa kwa tume ya kuratibu maoni ya kuandika katiba mpya, ikiongozwa na jaji mstaafu Joseph Warioba.… More »

  • image
    Ndugai ataka waandishi kukemea uovu wa viongozi Editor - May, 2012

    Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai (kushoto), akihutubia wageni wakati wa hafla ya maadhimisho ya siku ya vyombo vya habari duniani, jijini Dar es Salaam. Picha ndogo chini ni Naibu… More »

  • image
    Minister bans school for operating illegally Editor - May, 2012

    Education and Vocational Training Deputy Minister Phillipo Mlugo (holding a microphone) talks to students of Dodoma Central High School, after he closed the school following irregularities in registration of the school,… More »

  • image
    Watu saba wafariki kwa ajali mkoani Tabora Editor - May, 2012

    Habari za hivi karibuni zimebainisha kutokea kwa ajali mbaya iliyopelekea vifo vya abiria
    wapatao saba, huku wengine zaidi ya 50 wakijeruhiwa, na kumi kati yao wakipata majeraha
    mabaya kutokana na kupinduka… More »

  • image
    Raisi Kikwete akaribishwa na CUF Tanga Editor - Apr, 2012

    Wafuasi wa Chama Cha Wananchi CUF wakifurika barabarani kumlaki Raisi Jakaya Kikwete leo asubuhi, wakati alipowasili mkoani Tanga kwa maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi. Picha ndogo chini ni viongozi wa vyama vya Wafanyakazi… More »

  • image
    Waziri Nahodha matatani na waumini wa msikiti Editor - Apr, 2012

    Waumini wa msikiti ulioko katika makutano ya mitaa ya Mosque na Jamhuri jijini Dar es Salaam,
    wameapa kumfikisha mahakamani Waziri wa mambo ya ndani Mhe Shamsi Vuai Nahodha,
    kutokana na kukiuka katiba… More »

image
TRINITI → Oyster bay, Dar es salaam
image
ALBASHA - Lebanese Resturant → Samora Ave, Bridge St, Heritage hotel
image
Boodles Restaurants → 9th Floor Harbour View Suites
 
image
image
This text will be replaced
image