News / Politics

image Top Stories - Politics
  • image
    Mbunge amkabidhi mlemavu msaada wa kiti Editor - Feb, 2012

    Mwananchi mwenye ulemevu wa viungo akisukumwa na Mbunge wa Viti maalumu Ritta Kabati (katikati) baada ya kumkabidhi msaada wa kiti mjini Iringa. PICHA: ROMI
    More »

  • image
    Kesi ya Kawe yafutwa, Mbatia akubali yaishe Editor - Feb, 2012

    Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Silaa (kushoto) na Katibu Mkuu wa
    NCCR-Mageuzi, Samwel Ruhuza wakikumbatiana baada ya kukubaliana
    kufutwa kwa kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo Mwenyekiti wa… More »

  • image
    Kiama cha Wakenya ICC Kenyata, Ruto kitanzini dar411 - Jan, 2012

    Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa katika Mahakama ya Kimataifa ya makosa ya Jinai ICC, ambapo jopo la majaji walioendesha mashtaka dhidi ya Wakenya sita, wanaoshukiwa kuwa vinara wa machafuko ya uchaguzi mkuu wa nchi… More »

  • image
    Kesi ya Hamad yasomwa, CUF wapiga chenga dar411 - Jan, 2012

    Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed, ameitaka Mahakama kutoa amri kwa Wadhamini wa chama cha Wananchi CUF kuja mahakamani, baada ya wahusika wa chama hicho kutotokea kusikiliza kesi hiyo iliyolenga kukisulubu kwa kumfukuza… More »

  • image
    Kutoka ulemavu, Ubunge hadi umauti dar411 - Jan, 2012

    Licha ya ulemavu wake Regia Estelatus Mtema alifanikiwa kuingia katika orodha ya viongozi wa Taifa kama mbunge, akiwawakilisha wananchi kwa ustadi, na kujizolea umaarufu uliopotea ghafla alipopata ajali mwishoni mwa… More »

  • image
    Hamad: Sihamii kwingine, nitaanzisha changu dar411 - Jan, 2012

    Baada ya uamuzi wa Chama Cha Wananchi CUF kumfuta uanachama wake Mbunge wa Wawi Hamad Rashid, mbunge huyo ameibuka na kusema bado yeye ni mbunge wa CUF kufuatia amri ya mahakama, na kwamba kama atalazimika kuondoka… More »

  • image
    CUF kwawaka, Hamad afukuzwa dar411 - Jan, 2012

    Mkutano wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Wananchi CUF umefanyika hii leo visiwani Zanzibar, ukiwa na ajenda kuu ya kujadili kile kilichoelezwa baadhi ya wajumbe wake kukihujumu chama kwa kuongozwa na Mbunge wa Wawi… More »

  • image
    Hatma ya Hamad Rashid CUF mashakani dar411 - Dec, 2011

    Mgogoro baina ya Mwenyekiti wa zamani wa kambi ya upinzani Bungeni na mbunge wa Wawi Zanzibar Hamad Rashid Hamad na Katibu mkuu wa CUF Taifa Maalim Seif Shareef Hamand umefikia pagumu, baada ya Kamati ya Maadili ya… More »

  • image
    Matokeo DRC tete, maandamano yaanzia London dar411 - Dec, 2011

    Wasiwasi umetanda upya katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, baada ya upinzani kupinga matokeo ya uraisi uliotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo Ijumaa iliyopita, kwa madai kuwa ulijaa udanganyifu… More »

  • image
    Sudan Kusini ruksa EAC, kutumia Kiswahili dar411 - Dec, 2011

    Siku chache baada ya Shirikisho la Jumuiya ya Afrika Mashariki kukataa ombi la Serikali ya Sudani Kaskazini kujiunga Jummuiya hiyo, upepo umekuwa tofauti kwa Sudan ya Kusini iliyojipatia uhuru hivi karibuni, baada… More »

image
Baraza Grill, Café & Bar → Garden Avenue
image
I Don’t Know How She Does It → Centuary Cinemax, Mlimani City / Quality Centre (Pugu Road) Dar es Salaam
 
image
image
This text will be replaced
image