Top Stories - Politics
-
CUF kwawaka, Hamad afukuzwa dar411 - Jan, 2012
Mkutano wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Wananchi CUF umefanyika hii leo visiwani Zanzibar, ukiwa na ajenda kuu ya kujadili kile kilichoelezwa baadhi ya wajumbe wake kukihujumu chama kwa kuongozwa na Mbunge wa Wawi… More »
-
Hatma ya Hamad Rashid CUF mashakani dar411 - Dec, 2011
Mgogoro baina ya Mwenyekiti wa zamani wa kambi ya upinzani Bungeni na mbunge wa Wawi Zanzibar Hamad Rashid Hamad na Katibu mkuu wa CUF Taifa Maalim Seif Shareef Hamand umefikia pagumu, baada ya Kamati ya Maadili ya… More »
-
Matokeo DRC tete, maandamano yaanzia London dar411 - Dec, 2011
Wasiwasi umetanda upya katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, baada ya upinzani kupinga matokeo ya uraisi uliotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo Ijumaa iliyopita, kwa madai kuwa ulijaa udanganyifu… More »
-
Sudan Kusini ruksa EAC, kutumia Kiswahili dar411 - Dec, 2011
Siku chache baada ya Shirikisho la Jumuiya ya Afrika Mashariki kukataa ombi la Serikali ya Sudani Kaskazini kujiunga Jummuiya hiyo, upepo umekuwa tofauti kwa Sudan ya Kusini iliyojipatia uhuru hivi karibuni, baada… More »
-
Vurugu zatanda uchaguzi wa Congo, 3 wafa dar411 - Nov, 2011
Kiasi cha wananchi milioni 35 waliojiandikisha kwa ajili ya kufanya uchaguzi wa viongozi mbalimbali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, walianza kuingia vituo vya kupigia kura hapo jana, na kendelea tena hii leo… More »
-
Mukama atoboa siri za kikao CC Dodoma dar411 - Nov, 2011
Suala lililoteka vyombo vya habari ambalo ni moja ya maazimio yaliyotajwa, ni sakata la ‘gamba’ ambapo Mukama amefafanua: “kupitia heshima ya Mwenyekiti wa Chama (Raisi Jakaya Kikwete), viongozi waliohusishwa… More »
-
Polisi yazuia maandamano yote ya Katiba dar411 - Nov, 2011
Jeshi la Polisi nchini leo limetangaza kusitisha vibali vyote vya maandamano vilivyoombwa na taasisi mbalimbali, juu ya suala la mabadiliko ya mswada wa katiba mpya uliopitishwa bungeni hivi karibuni mjini Dodoma. More »
-
Usiri watawala mkutano wa CCM Dodoma dar411 - Nov, 2011
Hata hivyo wakati wa mapumziko mafupi, Katibu wa itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye amelazimika kukutana na vyombo vya habari kwa muda mfupi, na kukanusha vikali taarifa zilizoenea kwamba baadhi ya vigogo wa chama hicho… More »
-
JK afungua kikao NEC, Nape aonya dar411 - Nov, 2011
Wakati Raisi Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Chama tawala cha Mapinduzi CCM akifungua mkutano wa Kamati kuu ya chama hicho Dodoma, Katibu mwenezi Nape Nnauye amewataka Watanzania kuwa watulivu na waondoe… More »
-
Hatimaye mswada wapitishwa bila CHADEMA, NCCR dar411 - Nov, 2011
Licha ya pingamizi kubwa lililowekwa na vyama vya CHADEMA na NCCR Mageuzi juu ya kutosomwa kwa mswada wa katiba kwa mara ya pili na badala yake usomwe mara ya kwanza, mswada huo umepitishwa leo na bunge lililosheheni… More »


















