News / Sports

image Top Stories - Sports
  • image
    Yanga sasa kazi ni huko Misri Editor - Feb, 2012

    Mabingwa wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara Dar Young Africans ya jijini Dar es Salaam, ilishindwa kujipatia ushindi dhidi ya wapinzani wake wa Kiarabu kutoka Misri Zamalek,licha ya kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa,… More »

  • image
    TFF yawafuta kazi waamuzi 3 na kamishna Editor - Feb, 2012

    Shirikisho la kandanda nchini TFF leo limewaondosha Waamuzi watatu na kamishna mmoja katika majukumu yao ya kuchezesha na kusimamia mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kutokana na kuonyesha upungufu katika uchezeshaji… More »

  • image
    Bongo Movie waitandika Kadanse FC manny - Feb, 2012

    Mtanange wa kukata na shoka kati ya wasanii wa Filamu (Bongo Movies FC) na Kadanse FC Uliofanyika Jana maalumu kuchangia waathirika wa Mafuriko yaliyotokea Mwaka Jana ulimalizika kwa wasanii wa Filamu nchini kuitandika… More »

  • image
    Twiga 2 Wabunge 1, wanyakua mil 10 dar411 - Jan, 2012

    Kikosi cha timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Wanawake Tanzania Twiga Stars, kimeibuka kidedea katika mchezo wake dhidi ya timu ya Muungano wa Wabunge, ambapo walifanikiwa kuwatungua kwa bao 2 kwa 1, na kisha kuzawadiwa… More »

  • image
    Twiga Stars dimbani leo na Wabunge leo dar411 - Jan, 2012

    Kikosi cha timu ya Taifa ya wanawake kwa mpira wa miguu Twiga Stars, kimejitupa uwanjani katika dimba la Karume, kuwavaa Waheshimiwa Wabunge wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hatua ya kujifua… More »

  • image
    Simba, Azam dimbani leo Ligi kuu dar411 - Jan, 2012

    Baada ya ngwe ya pili ya pazia la Ligi kuu Tanzania Bara kufunguliwa, Simba wanaingia tena kwenye kibarua kingine watakapoivaa timu ya Coastal Union kutoka Tanga kwenye dimba la Taifa, wakati katika uwanja wa Chamazi… More »

  • image
    Timu ya Bunge kukipiga na Twiga Stars dar411 - Jan, 2012

    Wabunge wanawake katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanatarajiwa kujitupa dimbani hapo Alhamisi wiki hii kusakata kabumbu dhidi timu ya Taifa ya soka ya Wanawake Twiga Stars, kabla ya kuwakabidhi zawadi… More »

  • image
    Twiga Stars kambini kumaliza kazi dar411 - Jan, 2012

    Baada ya kurudi na ushindi wa bao 2 kwa nunge kutoka Namibia, kikosi cha timu ya soka ya Wanawake Twiga Stars kimeanza mazoezi tayari kwa mchuano wa pili wa marudiano na wapinzani wao kutoka Namibia utakaofanyika Dar… More »

  • image
    “Twiga Stars” shujaa asiyedhaniwa na wengi dar411 - Jan, 2012

    Kikosi cha timu ya soka ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars, kimerejea jijini Dar es Salaam leo asubuhi kikitokea nchini Namibia ambapo walikwenda kupambana na timu ya Taifa ya nchi hiyo kutafuta nafasi ya kushiriki katika… More »

  • image
    Azam FC shujaa kombe la Mapinduzi dar411 - Jan, 2012

    Kivumbi cha mashindano ya kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar kimemalizika rasmi usiku wa kuamkia leo, kwa kikosi cha matajiri wa jiji la Dar es Salaam Wanalambalamba Azam FC kunyakua ubingwa huo kwa kuwatungua Jamhuri… More »

image
Tuesdays - Combo Special → Coral Ridge Spur
image
BOODLES RESTAURANT → Harbour View Hotel
image
Friends on Friday Episode V → Tamal Hotel Mwenge
 
image
image
This text will be replaced
image