News / Sports

image Top Stories - Sports
  • image
    TFF yaitiwa TAKUKURU, Mara kuandamana dar411 - Oct, 2011

    Wadau wa soka mkoani Mara, wameanza kuandaa maandamano makubwa kuzunguka mkoa mzima, kupinga hatua ya TFF kuengua jina la mgombea wake Michael Wambura katika king’ang’anyiro cha uenyekiti wa soka kanda ya mkoa… More »

  • image
    Moro kumekucha Chamazi, Azam chali dar411 - Oct, 2011

    Kikosi cha Wanatamatamu Mtibwa Sugar kimeng’ara vilivyo leo katika dimba lake la Manungu Turiani Morogoro, baada ya kuwagagadua matajiri wa jiji la Dar es Salaam Azam FC kwa bao 1 kwa nunge, huku Moro United ikiwasha… More »

  • image
    Simba vs Yanga Jumamosi, Timbe atimuliwa dar411 - Oct, 2011

    “Uongozi wa Yanga na Kamati ya Ufundi wamekaa na kuangalia mambo mengi yaliyofikia uamuzi wa kumrudisha Pipic” amebainisha msemaji wa Yanga Luis Sendeu na kuongeza mojawapo ya vitu vilivyoangaliwa ni mechi za Kimataifa… More »

  • Villa, Coastal Union waua, Mtibwa-Azam kesho dar411 - Oct, 2011

    Ligi kuu ya soka ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea tena hii leo ambapo watoto wa mjini Villa Squad imeivaa African Lyon jioni ya leo na kupokea kichapo cha goli 3 kwa 2, huku Wagosi wa Kaya Coastal Union ya Tanga… More »

  • image
    Stars yaporomoka tena FIFA, sasa ni ya 131 dar411 - Oct, 2011

    Shirikisho la Kandanda nchini TFF, limetangaza kusikitishwa kwake kutokana na kuporomoka tena kisoka katika viwango vya FIFA, ambapo imeshuka kutoka nafasi ya 127 na kufikia 131. More »

  • image
    Ruvu Shooting kipimo kingine kwa Simba leo dar411 - Oct, 2011

    Vinara wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara Simba, wanakabiliwa na kibarua kingine cha kupima ubora wao katika ligi, watakapokumbana na Ruvu Shooting Stars katika dimba la Chamazi Mbagala jijini Dar es Salaam. More »

  • image
    “Kidiaba” kipa wa Samata apata pigo dar411 - Oct, 2011

    Akiwa na nywele zilizosukwa mfano wa ushungi wa ndege nyuma ya kichwa chake, "Kidiaba" hushangilia ushindi kwa kurukaruka mithili ya chura, lakini kwa kutumia makalio, huku mikono ikipepea. More »

  • image
    Kombe la Dunia, Stars- Chad Novemba 3 dar411 - Oct, 2011

    Mechi za mchujo kujiandaa kwa mashindano ya Kombe la Dunia yatajayofanyika nchini Brazili mwaka 2014, zinatarajiwa kuanza hivi karibuni, ambapo kikosi cha timu ya soka Taifa Stars kinatarajiwa kuanza kazi na Chadi. More »

  • image
    Walioihujumu Villa Squad wakiri, warejeshwa rumande dar411 - Oct, 2011

    “Wote walikubali kosa na kukiri kucheza chini ya kiwango” ni taarifa ya leo ya msemaji wa Klabu ya Villa Squad Jumanne Matipa alipokuwa akitoa majibu ya Kamati ya Nidhamu ya Klabu hiyo iliyokaa na wachezaji hao… More »

  • image
    Kamati Simba zatajwa, Rage amgeukia Yondani dar411 - Oct, 2011

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba na Mbunge wa jimbo la Tabora mjini Muhidini Alhadji Ismael Aden Rage, ametangaza majina ya Kamati mbalimbali za uongozi wa Klabu hiyo leo, na kuzungumza na vyombo mbalimbali vya habari… More »

image
Friends on Friday Episode V → Tamal Hotel Mwenge

Usiku wa Mduara ndani ya Star Coco → Star Coco Beach Dar Es Salaam
 
image
image
This text will be replaced
image