News / Business / Barabara ya Mwenge-Tegeta ni Mei mwakani

image

Barabara ya Mwenge-Tegeta ni Mei mwakani

By Editor

Kijiko kikiondoa lami ya zamani katika barabara ya Bagamoyo ili
kupisha ukarabati na upanuzi wa barabara hiyo kutoka Mwenge hadi
Tegeta jijini Dar es Salaam. PICHA: ROMI
image

image

Imefahamika kuwa upanuzi wa barabara mpya ya Bagamoyo kutoka eneo la Mwenge hadi Tegeta, unatarajiwa kumalizika mwezi Mei 2013 kama ilivyopangwa.

Kipande hicho chenye urefu wa KM 13 kinajengwa na kampuni ya Kijapani ya Konoike, ambapo ujenzi wake huo
unatarajiwa kumalizika Mei 2013. Ujenzi wa kipande hicho cha barabara
ulioanza Desemba mwa 2011, unategemewa kuondoa tatizo la msongamano wa magari
katika eneo hilo.

 
image
image
This text will be replaced
image