Mawazo - Diamond - Exclusive
Mwanamuziki aliyeko kwenye Level za Juu kwasasa Naseeb Hamis a.k.a Diamond ameachia ngoma yake ya Mawazo baada ya wapenzi wengi kuisubiri kwa muda mrefu.
Diamond Platinum alisema ameachia ngoma .... 

Mwanamuziki aliyeko kwenye Level za Juu kwasasa Naseeb Hamis a.k.a Diamond ameachia ngoma yake ya Mawazo baada ya wapenzi wengi kuisubiri kwa muda mrefu.
Diamond Platinum alisema ameachia ngoma hiyo baada ya kuhakikisha imetoka kwenye Kiwango cha kimataifa.
"Ni Ngoma ambayo nina uhakika kila mpenzi na mshabiki wa Bongo Fleva akiiona ataikubali, video nimefanya na Adam wa Visual Lab" alisema Diamond
Ichek ngoma hiyo ambayo imeachiwa Leo hii kwa kubofya http://www.youtube.com/watch?v=w0HWyk3bxRE
Top Stories »