News /

image

Mh Joseph Mbilinyi Afanya Mahojiano na Dar411

By manny

image

image

Mh Joseph Mbilinyi ameweza kufanya Mazungumzo na Dar411.

Katika Mazungumzo hayo Mh Mbilinyi alizungumzia kuhusu Maisha yake kama Mbunge pamoja na mategemeo yake kwa Wananchi wa Mbeya Baada ya Miaka Mitatu ya Uongozi wake.

Akiongea katika mazungumzo hayo maalumu yaliyofanyika katika Hotel ya Defrancee pale Sinza Mheshimiwa hakusita kuongelea masuala mbali mbali ya Muziki.

Zaidi kuangalia Interview hii unaweza kubofya http://www.youtube.com/watch?v=sj2O1CgYcYo

 
image
image
This text will be replaced
image