News / Entertainment / Sugu na Ruge sasa mambo safii

image

Sugu na Ruge sasa mambo safii

By manny

Ule Ugomvi mkubwa ambao ulitawala katika tasnia ya Muziki kiasi kwamba kufikia mahala pabaya, hatimaye umemalizika rasmi leo.

Alikuwa ni Waziri wa Vijana...
image

image

Ule Ugomvi mkubwa ambao ulitawala katika tasnia ya Muziki kiasi kwamba kufikia mahala pabaya, hatimaye umemalizika rasmi leo.

Alikuwa ni Waziri wa Vijana, Michezo na Utamaduni Emmanuel Nchimbi na Mbunge wa Singinda Vijijini Tundu Lissu waliofanya kazi katika kufanikisha kupatikana kwa muafaka huo.

Kikao hicho cha siri kubwa kilifanyika sehemu ya siri, lakini mara baada ya muafaka kufikiwa waliamua kuweka wazi kwa waandishi wa Habari.

image
image
This text will be replaced
image