|
- Celebrities
In this section you can find out the latest news
about your favourite Bongo celebrities, their histories,
beefs, love affairs, new releases, future plans,
what celebrities got up to while they were at school,
where they came from, where they are and where they
are going.
One On One with Beezy
Ni mmoja wa wanamuziki walio-make headlines kwa mwaka jana.
Makazi yake yapo nchini Ujerumani lakini anafanya muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva na anakubali sana nchini na hata Ujerumani, hapa namuongelea si mwingine bali Benson Mokiwa wengi wanamjuwa kama Beezy.
Mchizi alikuwa na bonge la beef na prodyuza maarufu nchini Marco Chali, je ni kweli ilikuwa bifu au? leo tunawaletea mahojiano maalumu yaliyofanyika kati ya Beezy na Dar411 akielezea maisha yake katika muziki pamoja na ukweli wa nini kilichotokea...
One on One with Nuru
Dar411 - Karibu Dar411
Nuru – Asante.
Dar411 – Kwanza tupe kwa ufupi historia yako ya kimuziki mpaka hapa ulipofika leo.
Nuru – Nimeanza kuimba toka nikiwa mdogo lakini rasmi kabisa nimeanza kuimba nikiwa na miaka 16 baada ya kipaji changu kugunduliwa na Marehemu James Dandu, kipindi hicho nilikuwa tayari nimesharekodi nyimbo tatu (3) lakini ilikuwa katika lugha ya kiingereza nilikuwa Sweden kwa kipindi hicho,ndipo nikajiunga....
Mr. Ebbo - wasanii wanaharibu sana Bongo Fleva
Jina lake kamili anaitwa Abel Loshilaa Motika a.k.a Mr Ebbo, msanii wa siku nyingi kabisa katika game la muziki wa bongo fleva.
Katika mahojiano maalumu na Dar411 hivi karibuni Mr Ebbo ameibuka na kudai soko la muziki wa Bongo fleva limekuwa gumu sana kwani kwasasa asilimia kubwa limetawaliwa na Umarekani zaidi.
Soma mahojiano yetu haya kama ifuatavyo.
One on One with Mr Nice
Mmoja wa wanamuziki waliowahi kutesa sana na kutengeneza hela kwa hali ya juu Bongo Lucas Mkenda a.k.a Mr Nice ameibuka na kujibu tuhuma za kuambiwa kuwa amefilisika, pata mkasa mzima katika one on one na Celebrity wa Bongo
One on One with Black Ryhno
Rapa Black Rhyno amerejea nyumbani akitokea nchini Afrika Kusini alikoshiriki tamasha la utoaji wa tuzo za video bora za muziki za Chanel O.
Rhyno, ambaye hakupata tuzo yoyote miongoni mwa mbili alizokuwa akiwania kupitia video ya wimbo wake wa 'Black Chata', amesema amejifunza mengi katika safari yake hiyo.
"Safari ilikuwa....
One one One with Nick wa Pili
Inawezekana kuna watu wanasema kwamba anaiga kutoka kwa kaka yake ambaye ni mwanamuziki kauli hii inaingwa vikali kutokana na yeye mwenyewe kudhibitisha kwamba alianza kupenda rap tokea utoto wake na vilevile kuchana alianza kitambo,enzi hizo yupo shule ya msingi.
Amepata umaarufu mkubwa baada ya...
Mimi na Tundaman Basi - Spark
Selemani Vunde ni mmoja wa wasanii wakali kabisa kwenye Game la Bongo Fleva kwasasa, hapa namzungumzia mtu mzima Spark ambaye alikuwa na kundi zima la Tip Top Connection kabla hajajiengua, tulifanikiwa kufanya nae mazungumzo mafupi ili kupata kumjuwa zaidi.
One on One with Barnaba of THT
Nadhani hakuna asiyeujuwa wimbo wa Njia Panda ulioimbwa na vijana wadogo kabisa kiumri lakini wenye mambo makubvwa kwenye game hili la Bongo Fleva, hapa namzungumzia Barnaba Elias na a.k.a Barnaba na Pipi ambao wote ni kizazi cha kituo cha kulelea na kukuza vipaji cha THT.
Basi leo tumewaletea Interview ya Barnabas.
One on One with Said Fella
Said Fella si jina geni kwa mfwatiliaji yeyote yule wa muziki wa kizazi kipaya, linajulikana kutokana na ushiriki wake katika muziki kwa zaidi ya miaka 10, akiwa kama meneja wa kundi la TMK Wanaume Family lenye maskani yake Temeke Dar es Salaam, Dar411 ilipata wasaa wakujuwa na kuongea naye machache kuhusu kazi zake.
One on One with Joshi
1.Whats your full name/ Age/ Location?
Dar411 : Whats your full name / Age/ Location?
June 23 at 10:44pm
OM .H. JOSHI / 24 years/ Dar es Salaam
Dar411 : What's your main occupation and what company do you represent?
PHARMACIST by profession ( Bachelor of Pharmacy )
working fr Regency hospital and Amana hospital for the time being (two jobs per day)....
Page 1 of 1 pages |