Home |
Partly Cloudy and 25 C Dar-es-Salaam weather |
|
Entertainment
In this section you can find out the latest news and gossip in Bongo, the hottest music videos from your favorite artists and from a few up and coming acts, what celebrities got up to while they were at school, the latest street words, and what's happening in your favorite soap opera. EntertainmentKibaka wa Tabata anaswa Kinondoni Shamba
Katika wimbi la ukabaji na wizi uliorudi na kushamiri katika mtaa Kinondoni Shamba na viunga vyake licha ya kudhibitiwa hivi majuzi, hatimaye Kibaka mmoja kutoka maeneo ya Tabata kwa kushirikiana na wazawa wanaoendesha uporaji kwa ushirikiano, amekamatwa baada ya kunasa katika geti la mkazi mmoja mtaani hapo.
![]() Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa mtaa huo Steven Mleki, Kijana huyo ambaye jina lake halikufahamika mara moja, alibambwa na wenye nyumba baada ya kushindwa kuruka ukuta, pale alipotumkukia ndani na wenzake ambao baada ya kuona hatari waliweza kuchoropoka na kukimbia. Amesema baada ya kukamatwa na kuwekwa chini ya uangalizi wa wananchi, taarifa zilimfikia na kisha kutoa ripoti polisi mara moja, ambao walifika na kumpakia ndani ya gari lao (defender) na kumpeleka katika kituo cha Polisi cha Oyesterbay. Vijana hao wamekuwa wakizua mtafaruku na hofu kubwa kwa wakazi wa mtaa huo uliopo katika Kata ya Kinondoni, na imefahamika kuwa mtandao wao umepanuka na kwamba wanachanganyika kwa kupeana taarifa baina ya wenyeji na wageni kutoka mitaa mbalimbali ya jiji, ili wasifahamike kirahisi. ReviewsComment Preview More on EntertainmentLive Music
This text will be replaced by the flash music player.
![]() |
Remember my personal informationNotify me of follow-up comments?
Submit the word you see below: