Home |
Partly Cloudy and 25 C Dar-es-Salaam weather |
|
Entertainment
In this section you can find out the latest news and gossip in Bongo, the hottest music videos from your favorite artists and from a few up and coming acts, what celebrities got up to while they were at school, the latest street words, and what's happening in your favorite soap opera. EntertainmentMkoloni agoma kufanya Ngoma na Rich One
Mmoja wa wasanii wanounda kundi la Wagosi wa Kaya Fred Malik a.k.a "Kinega Mkoloni" amemchomolea member mwengine wa kundi la jipya la "Wanaume" Rich One kufanya naye Colabo ya ngoma mpya ya Rich One kwamadai kuwa kwasasa sio muda muafaka.
Akichonga na Dar411 Mkoloni alisema sio kwamba ameringa kufanya ngoma hiyo pamoja na mchizi ila kwasasa sio muda muafaka....
![]() Mmoja wa wasanii wanounda kundi la Wagosi wa Kaya Fred Malik a.k.a “Kinega Mkoloni” amemchomolea member mwengine wa kundi la jipya la “Wanaume” Rich One kufanya naye Colabo ya ngoma mpya ya Rich One kwamadai kuwa kwasasa sio muda muafaka. Akichonga na Dar411 Mkoloni alisema sio kwamba ameringa kufanya ngoma hiyo pamoja na mchizi ila kwasasa sio muda muafaka. “Haina maana nina bifu na Rich One hata yeye mwenyewe analielewa hili, niko katika mkakata flani hivi ambao ukija kwenda sawa sio mimi tu peke yakngu ambaye nitafaidika bali wasanii wote wa Bongo, ni mwendo wa harakati flani hivi” alisema Mkoloni. Naye Rich One alisema ya kuwa kweli sio bifu ila Mkoloni amemwelewesha na ameelewa nini anafanya kwasasa. “Unajua Mkoloni yupo busy sana na harakati. Anaendelea kusimamisha ukweli wa kile alichokifanya kwenye Antivirus, kwahiyo alimkatalia Rich One si kwa nia mbaya, bali kirafiki kwa sababu matunda ya anachokipigania yatavunwa na wasanii wote pamoja na Watanzania kwa jumla,” alisema Rich One ReviewsComment Preview More on EntertainmentLive Music
This text will be replaced by the flash music player.
![]() |
Remember my personal informationNotify me of follow-up comments?
Submit the word you see below: