Home | Dar-es-Salaam weather Partly Cloudy and 25 C Dar-es-Salaam weather
RSS News
Entertainment

In this section you can find out the latest news
and gossip in Bongo, the hottest music videos from
your favorite artists and from a few up and coming acts,
what celebrities got up to while they were at school,
the latest street words, and what's happening in your
favorite soap opera.

Entertainment

Sitaki kushirikishwa na yeyote - Chillah
Q Chilla baada ya kuja na style mpya ya nywele na sasa jamaa amekuja na mpya akidai hataki kabisa kusikia kitu cha kushirikishwa na mwanamuziki mwengine yeyote Akipiga stori na Dar411 Q Chief alisema kwamba hivi sasa hataki kusikia habari za kushirikishwa kwasababu yuko tait na ujio wake mpya baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu...

Q Chilla baada ya kuja na style mpya ya nywele na sasa jamaa amekuja na mpya akidai hataki kabisa kusikia kitu cha kushirikishwa na mwanamuziki mwengine yeyote

Akipiga stori na Dar411 Q Chief alisema kwamba hivi sasa hataki kusikia habari za kushirikishwa kwasababu yuko tait na ujio wake mpya baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu.

“Hivi sasa nipo kwenye mishemishe za kwenda levo nyingine, sihitaji kushirikishwa na msanii yoyote, nimeshawasaidia sana kilichopo mbele yangu muda huu ni kuangalia jinsi ya kuupeleka muziki wangu mbali,” alisema.

Akiwa ametoka chimbo na ngoma yenye jina la Saba mara sabini inayofanya vizuri sasa, jamaa pia yuko tayari kulitaja jina la albamu yake mpya ambayo ni A sing of matureness kwakuwa tayari imeshakamilika kinachofuata ni video za ngoma kadhaa kabla ya kuwapelekea walaji.

Reviews


Comment Preview

Name:

Email: 

Smileys

Remember my personal information
Notify me of follow-up comments?


Submit the word you see below:



Live Music

This text will be replaced by the flash music player.